1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Messi kubaki Barcelona kwa msimu mwingine

Bruce Amani
7 Septemba 2020

Nchini Uhispania, macho yote bado yako kwa Lionel Messi. Nyota huyo wa Argentina alitangaza Ijumaa kuwa, licha ya kuiambia klabu hiyo anataka kuondoka, atacheza msimu wa mwisho kwenye mkataba wake. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alisema atabaki kwa sababu asingependa kuipeleka klabu yake mahakamani ili imruhusu aondoke

https://p.dw.com/p/3i74A