Merkel: Ujerumani haitopeleka silaha Uturuki | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 17.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Merkel: Ujerumani haitopeleka silaha Uturuki

Kansela Angela Merkel amelihutubia bunge la Ujerumani kabla ya kuelekea mjini Brussels kuhudhuria mkutano wa kilele wa viongozi wa Umoja wa Ulaya, huku pia akibainisha kuwa nchi yake haitopeleka silaha Uturuki.

Tazama vidio 00:50