SiasaMerkel atuzwa kwa kuwaruhusu wahamiaji wa Syria kuingia Ujerumani 2015 na 2016.To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa06.10.20226 Oktoba 2022Wema aliowatendea wahamiaji kwa kuwaruhusu waingie Ujerumani mwaka 2015 na 2016 alipokuwa kansela umezawadiwa. Shirika linalowashughulikia wahamiaji la Umoja wa Mataifa limemtuza Angela Merkel tuzo yake ya juu zaidi kwa utu wake. https://p.dw.com/p/4HqJvMatangazo