Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Kiongozi wa chama cha siasa cha ACT Wazalendo cha Tanzania, Zitto kabwe azungumza kwa upana katika kipindi cha Kinagaubaga kuhusu hali ya kisiasa nchini mwake. Zaidi msikilize alipozungumza na Sudi Mnette.