1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchezo wa kukwea miti kwa kamba Berlin

21 Aprili 2022

Huchezwa katika misitu na hata bustani za miti, ni mchezo hatari lakini unafurahisha na huchezwa katika majira ya joto. watu kutoka maeneo mbalimbali hufurahia mchezo huo wakiwa na familia, hapa Ujerumani mchezo huu unazidi kupata umaarufu.

https://p.dw.com/p/4ACmp