1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchezaji nyota wa Mainz

Saumu Mwasimba
17 Septemba 2018

Anthony Ujah ni mchezaji nyota anayeng'aa katika timu ya Bundeliga ya Mainz na pia mchezaji anayeishi maisha ya ndoto zake na hivi karibuni amepata baraka ya kupata mtoto wa tatu katika familia yake hivyo basi kumfanya kuwa mchezaji mwenye furaha kubwa

https://p.dw.com/p/351n1