Mchango wa wanawake katika uchumi wa Afrika | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mchango wa wanawake katika uchumi wa Afrika

Barani Afrika, katika kila kampuni nne, kampuni moja imeanzishwa na mwanamke. Hii ni kwa mujibu wa shirika la ushauri wa masuala ya usimamizi la Roland Berger ikimaanisha kuwa bara hilo lina kiwango kikubwa cha wanawake wajasiriamali

Tazama vidio 01:40