1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wananchi wanasubiri matokeo

26 Oktoba 2015

Matokeo ya mwanzo yanatarajiwa kuanza kutiririka kutoka katika vituo mbalimbali vya kupigia kura. Bruce Amani amezungumza na Dr. Benson Bana mchambuzi wa masuala ya siasa akiwa Dar es Salaam

https://p.dw.com/p/1Gu5N
Tansania Wahlen
Picha: DW/H. Bihoga