1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbunge wa CCM Jimbo la Maswa nchini Tanzania kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2010

20 Oktoba 2009

Mbunge wa Jimbo la Maswa nchini Tanzania Bw.Magalle John Shibuda ataka kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2010.

https://p.dw.com/p/KB1j

Mbunge wa Jimbo la Maswa kupitia Chama tawala cha CCM nchini Tanzania,Bw Magalle John Shibuda, ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2010 dhidi ya Rais Jakaya Kikwete. Hatua yake hiyo imezusha maoni tafauti ndani ya chama hicho tawala. Grace Kabogo alizungumuza na Bw Shibuda ambaye kwanza anaelezea juu ya nia yake hiyo ya kutaka kuwa mgombea.

Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri:Abdul-Rahman