Mbunge mwenye umri mdogo zaidi Mali | Afrika yasonga mbele | DW | 09.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mbunge mwenye umri mdogo zaidi Mali

Amadou Thiam ndiye mbunge mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la Mali, taifa ambalo ni mojawapo ya nchi zenye idadi kubwa ya vijana. Anataka kutumia nafasi yake kuleta mabadiliko Mali

Tazama vidio 03:20