1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UKAWA itasimama bila Dk. Slaa - Mbatia

Sudi Mnette25 Septemba 2015

Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, kutangaza kuachana na siasa akipinga kilichotokea wakati vyama vinavyounda UKAWA vikimpokea Edward Lowassa, mwenyekiti mwenza wa UKAWA, James Mbatia, amezungumza na DW kujibu tuhuma hizo.

https://p.dw.com/p/1GdSl