Mazungumzo ya Serikali ya Uganda na kundi la LRA | Matukio ya Kisiasa | DW | 07.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mazungumzo ya Serikali ya Uganda na kundi la LRA

Waziri wa Mashauri ya Kimataifa nchini Uganda, Henry Okelo Oryem, amesema Wajumbe wa Serikali Kuu ya Uganda hawatarejea tena katika eneo la mpaka wa Sudan na Kongo.

Joseph Kony kiongozi wa Kundi la Waasi wa LRA

Joseph Kony kiongozi wa Kundi la Waasi wa LRA


Watarejea pale Kiongozi wa kundi la Waasi la LRA, Joseph Kony atakapobainisha kuwa atafika katika eneo hilo kwa ajili ya mapatano ya Amani.

Zaidi anayo mwandishi wetu Ismail Kigozi kutoka nchini Uganda.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com