1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawaziri 10 wa Serikali ya Kongo ziarani Kivu ya Kaskazini

22 Mei 2007

Ujumbe wa mawaziri 10 wa serikali ya Kongo ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya ndani Dennis Kalume uko ziarani Kivu ya Kaskazini.

https://p.dw.com/p/CHDz

Ziara hiyo inalenga kutafuta suluhu ya matatizo ya eneo hilo la Kaskazini likiwemo waasi wa Interahamwe wanaojificha katika msitu wa huku kukiwa na wasiwasi kuwa Laurent Nkunda kiongozi wa waasi huenda akasababisha mashambulizi kwa madai kuwa serikali ya Kinshasa haijatimiza makubaliano ya Kigali.

Mwandishi wetu John Kanyunyu akiwa Goma anaarifu zaidi.