1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawaidha ya Eid ul Adha na Sheikh Izudin Alwi

27 Mei 2026

Eid Ul Hajj ana Eid ul Adha huadhimishwa kila mwaka baada ya waumini wa kiislamu kukamilisha ibada ya Hijja mjini Mecca Saudi Arabia. Sheikh Izudin anasema sherehe ni muhimu, lakini iendane na mafundisho ya Mwenyezi Mungu.

https://p.dw.com/p/5ENvk