Mauaji ya vikongwe mkoani Shinyanga Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 02.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mauaji ya vikongwe mkoani Shinyanga Tanzania

Makala ya Mbiu ya Mnyonge safari hii inaangazia ukatili dhidi ya vikongwe hasa katika mkoa wa Shinyanga Tanzania. Mtayarishi na msimulizi ni Veronica Natalis

Sikiliza sauti 09:45