1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mauaji ya raia wa Rwanda walioko uhamishoni

Grace Kabogo
16 Septemba 2021

Nchini Msumbiji kumekuwa na matukio yanayojongeleana ya mauwaji ya raia wa Rwanda wanaoishi uhamishoni nchini humo.

https://p.dw.com/p/40OYG

Miongoni mwa hao wapo mwandishi habari Cassien Ntamuhanga, aliyeuwawa Mei na hivi karibuni kabisa, Jumatatu aliyekuwa kiongozi wa wakimbizi Revocant Karemangingo. Kuhusu suala hilo, Sudi Mnette amezungumza na Ali Abdulkarim anaeishi mjini London, Uingereza, ambaye anazifahamu siasa za Rwanda.