1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mauaji huko Masaka Uganda, chanzo chake nini?

30 Agosti 2021

Kumekuwa na ongezeko la mikasa ya mauaji ya raia huko Masaka, Uganda, yanayofanywa na watu wasiojulikana kwa kutumia mapanga nyakati za usiku jambo ambalo limezua hofu wakaazi katika eneo hilo. Katika muda wa wiki tano, watu wapatao 32 wanatajwa kuuwawa. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Uganda Ali Mutasa akiwa mjini kampala kwanza alimuuliza iwapo anafahamu kiini cha mauwaji hayo?

https://p.dw.com/p/3zgwj