Matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 | Media Center | DW | 26.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2

Uzazi wa mpango ni maamuzi ya hiari ya mtu au na mpenzi wake kuhusu wakati gani waanze kuzaa, watoto wangapi wanataka, wapishane kwa umri gani na lini waache kuzaa. Masuala ya uzazi na malezi kwa wanawake ni jambo lililo wazi kabisa. Leo hii katika makala ya afya yako tunaangazia matumizi ya dawa ya kuzuia mimba kwa kiingereza morning after pill. Aliyetayarrisha makala hii ni Saumu Njama.

Sikiliza sauti 09:50