1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matumizi ya Mihadharati yaongezeka Kenya

Shisia Wassilwa
13 Septemba 2023

Matumizi ya dawa za kulevya nchini Kenya yanazidi kuongezeka. Matumizi yake sasa yanavuka mipaka na kuingia katika milango ya taasisi za elimu ya juu, kunakopikwa wanafunzi watakaotoa mwelekeo wa taifa siku za baadaye na inasikitisha kwamba nusu ya idadi ya wanafunzi huko ni watumiaji wa dawa za kulevya. Shisia Wasilwa anasimulia.

https://p.dw.com/p/4WHVO