Matumizi ya baiskeli Afrika | Mada zote | DW | 29.08.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Matumizi ya baiskeli Afrika

Kuni, maji, mboga, wanyama - Waafrika wanatumia baiskeli kusafirisha vitu vingi. Watu wengi hawawezi kujinunulia gari na kwa kutumia ubunifu kidogo tu, baiskeli inaweza kutumiwa kusafirishia kila aina ya mzigo

xxx