Matumaini kwa watoto waliokuwa wanajeshi | Anza | DW | 02.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Matumaini kwa watoto waliokuwa wanajeshi

Wakati wanajeshi watoto wa zamani kutoka kaskazini mwa Uganda wanaporejea nyumbani, mara kwa mara hukabiliwa na jamii ambazo husita kuwakubali tena katika maisha ya kila siku. Kama waasi walijifunza tu jinsi ya kuua na kuishi msituni. Anywar Richard Ricky anataka kuwasaidia.

Tazama vidio 01:38