Matukio muhimu katika miaka 50 ya Umoja wa Afrika | Mada zote | DW | 23.05.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matukio muhimu katika miaka 50 ya Umoja wa Afrika

Wakati Umoja wa nchi Huru za Afrika (OAU) ukianzishwa Mei 25, 1963, viongozi wote 30 wa mataifa yaliyokuwa huru wakati huo walikuwepo. Muungano wa kisiasa ulipaswa kuzuia kugawanyika kwa bara la Afrika.