1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matteo Salvini apata pigo uchaguzi wa majimbo Italia

Daniel Gakuba
3 Februari 2020

Mwanasiasa mwenye sera kali za mrengo wa kulia nchini Italia Matteo Salvini na chama chake cha League wamepata pigo kubwa baada ya kushindwa uchaguzi wa jimbo muhimu la Emilia-Romagna. Je, hali hii ya kisiasa nchini Italia inaashiria kufifia kwa ushawishi wa siasa za kuhamasisha hisia za umma wa Matteo Salvini?

https://p.dw.com/p/3XCfM