Matokeo rasmi Kenya bado | Media Center | DW | 11.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matokeo rasmi Kenya bado

Tume ya huru ya uchaguzi na mipaka Kenya, IEBC inatarajiwa kumtangaza mshindi wa kiti cha urais. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel ameitembelea Sudan Kusini. Na Umoja wa Ulaya kuitisha mkutano wa dharura kuhusu kashfa ya mayai. Papo kwa Papo 11.08.2017

Tazama vidio 01:37
Sasa moja kwa moja
dakika (0)