1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matofali kutokana na taka za plastiki Kenya

23 Machi 2021

Katika jiji la Nairobi nchini Kenya, kundi moja linatumia taka za plastiki zikiwemo chupa zinazotupwa ovyoovyo kutengeneza matofali yanayotumika katika miradi mbalimbali ya ujenzi. Ni hatua inayosaidia kupungvuza uchafuzi wa mazingira, inazalisha bidhaa muhimu katika ujenzi kwa bei nafuu huku ikibuni nafasi za ajira. Shisia Wasilwa anasimulia mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3r0ie