1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matibabu ya kinga ya VVU kwa waliobakwa

Celina Mwakabwale28 Novemba 2016

Kati ya watu milioni 34 wenye Ukimwi duniani, asilimia 69 wanapatikana nchi za Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara. Ingawa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) huhusishwa na ngono, si wote waliopata virusi hivyo kwa njia hiyo. Celina Mwakabwale anaangazia matibabu wanayopewa watu walioambukizwa VVU baada ya kubakwa.

https://p.dw.com/p/2TMRS