Matarajio ya Watanzania kuhusu kombe la dunia la kandanda 2010 | Michezo | DW | 10.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Michezo

Matarajio ya Watanzania kuhusu kombe la dunia la kandanda 2010

Mchuano wa kwanza ni hapo kesho kati ya Afrika Kusini na Mexico

default

Kombe la dunia la kandanda linaloshindaniwa Afrika Kusini mwaka huu

Nchini Afrika kusini mwenyeji wa mwaka huu wa mashindano ya kombe la dunia la mpira wa miguu, shamrashamra tayari zimeanza wakati kesho basi ndio timu zitaanza kushuka dimbani.

Tayari homa ya mashindano hayo imeshaanza kupanda sehemu mbalimbali duniani. Nchini Tanzania je wanabashiria nini kuhusiana na mashindano hayo?

George Njogopa kutoka Dar es Salaam anatuarifu zaidi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 10.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NmsL
 • Tarehe 10.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NmsL