Matarajio ni yapi kwa rais mpya wa Tanzania Samia Hassan? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 19.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matarajio ni yapi kwa rais mpya wa Tanzania Samia Hassan?

Macho ya kila mmoja huko Tanzania sasa yako kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutazama jinsi atakavyojaza pengo lililoachwa na hayati John Magufuli. Katika kutathmini hilo zaidi, Jacob Safari amezungumza na mwandishi wa habari wa zamani wa DW Abdul Mtullya ambaye ni Mtanzania anayeishi Ujerumani na kwanza ameuliza maoni yake kuhusiana na kitu cha kwanza Samia anastahili kufanya katika uongozi wake.

Sikiliza sauti 02:51