1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 4.12.2021

Tatu Karema
4 Desemba 2021

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron awasili Saudi Arabia leo kwa mazungumzo ya ana kwa ana na mrithi wa kiti cha ufalme Mohammed bin Salman, upigaji kura waanza asubuhi ya leo nchini Gambia na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres azihimiza mamlaka nchini Sudan kuheshimu uhuru wa kujieleza na vyombo vya habari

https://p.dw.com/p/43pnf