1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 27.09.2020

Tatu Karema
27 Septemba 2020

Machafuko zaidi yanatarajiwa nchini Belarus leo, katibu mkuu wa jumuiya ya kujihami ya NATO Jens Stoltenberg atoa wito wa kuangalia kwa makini suala la vita dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na pande zinazozozana nchini Yemen zakubaliana kubadilishana wafungwa takriban elfu 1

https://p.dw.com/p/3j4Ds