Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 27.02.2021 | Media Center | DW | 27.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 27.02.2021

Israeli yatakiwa kusimamisha ubomoaji wa makazi ya Wabedouin katika Bonde la Jordan, waziri wa mambo ya nje wa Bangladesh A.K. Abdul Momen asema nchi yake haina wajibu wa kutoa hifadhi kwa wakimbizi 81 wa jamii ya waislamu ya Rohingya na Saudi Arabia yakanusha ripoti ya Marekani kuwa mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo Mohammed bin Salman aliidhinisha mauaji ya Jamal Khassogi

Sikiliza sauti 60:00