Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili. 21.03.2020 | Media Center | DW | 21.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili. 21.03.2020

Mamilioni ya watu duniani kote waanza mwisho wa juma wakiwa chini ya amri ya kusalia majumbani, bara la Afika larekodi takribani visa 1000 vya maambukizi ya virusi vya corona na hofu yaongezeka barani Afrika baada ya mashirika makubwa mawili ya ndege kutangaza kufutilia mbali safari zake za kimataifa kutokana na mripuko wa virusi vya corona.

Sikiliza sauti 60:00