1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 30.03.2018

Zainab Aziz
30 Machi 2018

Wakristo kote duniani leo waadhimisha Ijumaa kuu ya Sikukuu ya Pasaka. Hali ya Julia Skripal yaimarika hospitalini huko nchini Uingereza. Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy kufikishwa mahakamani. Trump asimamisha hatua ya kutoitoza kodi Rwanda.

https://p.dw.com/p/2vEtl