1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 29.11.2020

Amina Mjahid
29 Novemba 2020

Marekani yaripoti kusikia sauti za miripuko sita jana usiku, katika mji mkuu wa Eritrea Asmara, Iran yaapa kuwaadhibu waliomuua mwanasanyi Mohsen Fakhrizadeh na Mshambuliaji wa kujitoa muhanga awauwa wanajeshi 31 Afghanistan

https://p.dw.com/p/3lyfd