1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 29.10.2017

Yusra Buwayhid
29 Oktoba 2017

Utafiti wa maoni ya raia waonyesha muungano wa vyama vya Cataloni unaotaka kujitenga na Uhispania utashinwa uchaguzi wa Desemba. Mkuu wa masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura katika Umoja wa Mataifa asema hali ya kibinadaamu nchini Yemen ni ya kutisha. Kiongozi wa upinzani nchini Kenya raila Odinga ataka kuitishwe uchaguzi mpya ndani ya siku 90 zijazo.

https://p.dw.com/p/2mhWx