1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 28.10.2018

Grace Kabogo
28 Oktoba 2018

Mwanasheria Mkuu wa Saudi Arabia anatarajiwa kuwasili leo nchini Uturuki kwa mazungumzo na maafisa wanaochunguza mauaji ya Jamal Khashoggi // Wananchi wa jimbo la Hesse, Ujerumani leo wanapiga kura katika uchaguzi ambao utaamua kuhusu mustakabali wa Kansela Angela Merkel // Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe aliyefukuzwa amekataa kuondolewa katika makaazi yake rasmi.

https://p.dw.com/p/37HIH