1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 26.10.2019

SK2 / S02S26 Oktoba 2019

Zaidi ya watu milioni moja waandamana Chile kutaka serikali ijiuzulu, Wawakilishi wa Urusi, China Marekani, Pakistan wakutana kujadili amani ya Afghanistan, Familia nyingine za Vietnam zahofia ndugu zao kuwa miongoni mwa watu 39 waliouawa ndani ya lori Uingereza

https://p.dw.com/p/3RzBZ