1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 23.12.2021

Iddi Ssessanga
23 Desemba 2021

Wabunge kadhaa nchini Kenya waambukizwa kirusi cha corona cha Omicron baada ya kushirika michezo mjini Arusha, Tanzania, WHO yaonya kuwa kuongeza chanzo zaidi za kuimarisha kinga kutaongeza tatizo cha covid-19, Serikali ya Ethiopia yadai kukomboa mji katika mkoa wa Tigray, na Marekani yaruhusu maafisa wake na wa UN kushirikiana na Taliban katika biashara rasmi.

https://p.dw.com/p/44log