1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana - 22.09.2019

SK2 / S02S22 Septemba 2019

Rais wa Iran ataka nchi yake iaminiwe kuongoza juhudi za ulinzi wa eneo la Ghuba. Umoja wa Mataifa wakaribisha pendekezo la waasi wa Houthi la kusitisha mashambulizi dhidi ya Saudi Arabia. WHO imesema Tanzania inazuia taarifa kuhusu visa vinavyodhaniwa kuwa ugonjwa wa Ebola

https://p.dw.com/p/3Q2QP