1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 20.10.2019

Amina Mjahid
20 Oktoba 2019

Uturuki yasema wanamgambo wa kikurdi wamesababisha kifo cha mwanajeshi wao mmoja licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano, Wanachama wa Umoja wa Ulaya wakutana kujadili hatma ya Brexit na Maandamano ya kupinga hatua za kubana matumizi yaendelea Lebanon

https://p.dw.com/p/3Rb5c