1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 16.05.2020

Yusra Buwayhid
16 Mei 2020

Rais wa Marekani Donald Trump asema anatengeneza kombora jipya la hypersonic lenye kasi kuliko yae ya Urusi na China. Mipaka ya Ulaya yaanza kufunguliwa katika nchi jirani za Ujerumani, Austria na Ufaransa. Na, michuano ya mpira wa miguu Ujerumani inarudi tena uwanjani.

https://p.dw.com/p/3cKFG