1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 16.01.2021

Yusra Buwayhid
16 Januari 2021

Rais wa Uganda Yoweri Museveni aongoza kwa kupata kura nyingi kufuatia uchaguzi wa Alhamisi. India yenye watu bilioni 1.3 inaanza mchakato wa kutoa chanjo leo. Na, Chama cha CDU hapa Ujerumani leo kinamchagua kiongozi wake mpya wakati Kansela Angela Merkel akiwa anamaliza muda wake.

https://p.dw.com/p/3o1Ku