1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 13.08.2021

SK2 / S02S13 Agosti 2021

Afghanistan: Taliban wamechukuwa udhibiti wa mji mkuu wa jimbo la kusini la Kandahar/ Kenya: Muungana wa kisiasa wa eneo la mlima Kenya/ Jeshi ya Congo limewashambulia vikali waasi wa kundi la kigaidi ADF/ Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Zambia / Miaka 60 tangu kuanza kujengwa kwa ukuta wa Berlin

https://p.dw.com/p/3yx4K