1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 08.08.2021

dw8 Agosti 2021

Mji wa Kunduz Afghanistan umekamatwa na wapiganaji waTaliban. Iran imesema imekubali kurudi tena kwenye mazungumzo ya makubaliano ya nyuklia. Na Kisiwa cha Ugiriki cha Evia chawaka moto kwa siku ya sita.

https://p.dw.com/p/3yiRl