1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo Ya Mchana: 07.08.2022

7 Agosti 2022

Mapambano kati ya Israel na wanamgambo wa Kipalestina yaendelea huko Gaza. China yaionya Marekani kutochochea mzozo wake na Taiwan. Wasiwasi wa kimataifa waibuka baada ya kinu cha Nyuklia kushambuliwa nchini Ukraine.

https://p.dw.com/p/4FEOC