1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 06.10.2018

Yusra Buwayhid
6 Oktoba 2018

China bado imebaki kimya huku Mkuu wa Interpol Meng Hong ambae ni raia wake akiwa hajulikani alipo. UN yakabiliwa na madai mapya kuhusu unyanyasaji wa kingono uliofanywa na askari wake katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Na, Pompeo awasili Japan kuijadili Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/365JY