1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 06.05.2017

Zainab Aziz
6 Mei 2017

Katika matangazo yetu leo mchana:Uchunguzi waazna kubaini alyeidukua data za barua pepe za Emmanuel Macron. Rais wa Ujerumani Frank Walter Steinmier aanza ziara ya siku nne nchini Israel na katika mamlaka ya Palestina. Maarekan yatilia mashaka makubaliano ya amani ya Syria yaliyosmamiwa na Urusi. Mhadhiri wa chuo kikuu cha kimataifa ajeruhiwa kwa bomu mjini Mogadishu

https://p.dw.com/p/2cWj0