1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 05.03.2017 saa 7:00 (Afrika Mashariki)

John Juma
5 Machi 2017

https://p.dw.com/p/2YfS0

Miongoni mwa yaliyomo kwenye habari za mchana:

Kansela wa Austria atoa wito wa kupigwa marufuku kwa kampeni za Uturuki katika nchi zote za Umoja wa Ulaya.

Watu 110 wafariki nchini Somalia kufuatia ukame ambao umesababisha njaa.

Mashambulio ya kuukomboa magharibi ya Mosul yaanza tena huku watu 45,000 wakiyakimbia makaazi yao