1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 04.08.2022

SK2 / S02S4 Agosti 2022

China yavurumusha makombora katika luteka za kijeshi karibu na Taiwan/ Kenya yadhamiria kudhibiti vurugu za uchaguzi/ Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeamua kumfukuza msemaji wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo/ UN yataka kukagua kinu cha nyuklia cha Ukraine

https://p.dw.com/p/4F7eD