1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 04.04.2020

SK2 / S02S4 Aprili 2020

China leo inafanya maombolezo ya nchi nzima kuwakumbuka wahanga wa COVID-19. Ujerumani imeilaumu Marekani kwa kutaifisha maelfu ya Barakoa ambazo zilikwisha lipiwa na mamlaka za mji wa Berlin. Na Benki ya dunia imeipatia Pakistan msaada wa dola milioni 200 katika kukabiliana na covid-19.

https://p.dw.com/p/3aSEx